chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Najiuliza kama hawa wakipewa mkopo au kudhaminiwa Benki wapate mkopo wafungue shule binafsi, na mkopo uwe na suspended interest.
Wanajiunga vikundi vikundi tu, wa kufungua nursery haya, primary hayaaa, secondary hayaaa. Japo usimamizi wa serikali uwepo ili fedha isipotee. Ila biashara za ushirika kiafrika kurogana sasa
Hapo vipi?