Serikali iko tayari kuwapa hiyo mikopo or ni misemonya kisiasa tu?Najiuliza kama hawa wakipewa mkopo au kudhaminiwa Benki wapate mkopo wafungue shule binafsi, na mkopo uwe na suspended interest. Wanajiunga vikundi vikundi tu, wa kufungua nursery haya, primary hayaaa, secondary hayaaa. Japo usimamizi wa serikali uwepo ili fedha isipotee. Ila biashara za ushirika kiafrika kurogana sasa
Hapo vipi?
Ila biashara za ushirika kiafrika kurogana sasaNajiuliza kama hawa wakipewa mkopo au kudhaminiwa Benki wapate mkopo wafungue shule binafsi, na mkopo uwe na suspended interest. Wanajiunga vikundi vikundi tu, wa kufungua nursery haya, primary hayaaa, secondary hayaaa. Japo usimamizi wa serikali uwepo ili fedha isipotee. Ila biashara za ushirika kiafrika kurogana sasa
Hapo vipi?
Kauli za kisiasa hizo, yangekuwa mengi hao vijana wasingetoa mlio leo hiiMahela yapo mengi mno
Kwa nini hawawaajiri?Mahela yapo mengi mno
Itakuwa biasharaWakifungua hizo shule haitakuwa ajira?
Kuendesha biashara Sio rahisi hivyo.Najiuliza kama hawa wakipewa mkopo au kudhaminiwa Benki wapate mkopo wafungue shule binafsi, na mkopo uwe na suspended interest. Wanajiunga vikundi vikundi tu, wa kufungua nursery haya, primary hayaaa, secondary hayaaa. Japo usimamizi wa serikali uwepo ili fedha isipotee. Ila biashara za ushirika kiafrika kurogana sasa
Hapo vipi?
Serikali haifanyi kazi kwa mafumbo, sio chuo cha biblia hikoSasa hivi wanapewa nyavu wakavue, sio samaki
Hakuna ulichopendekeza. Mpaka Sasa Kuna ule mkopo wa Pato la ndani ya halmashauri 10%. Hakuna mkopo utakaoupata kama siyo mnufaika wa mfumo wa hovyo wa Ma CCM( waimba mapambio kama wewe). Kingine wazo lako ni zuri ila hakuna atakayepata hicho kitu na Hilo siyo suluhisho la tatizoNajiuliza kama hawa wakipewa mkopo au kudhaminiwa Benki wapate mkopo wafungue shule binafsi, na mkopo uwe na suspended interest.
Wanajiunga vikundi vikundi tu, wa kufungua nursery haya, primary hayaaa, secondary hayaaa. Japo usimamizi wa serikali uwepo ili fedha isipotee. Ila biashara za ushirika kiafrika kurogana sasa
Hapo vipi?
Safari ni hatuaHakuna ulichopendekeza. Mpaka Sasa Kuna ule mkopo wa Pato la ndani ya halmashauri 10%. Hakuna mkopo utakaoupata kama siyo mnufaika wa mfumo wa hovyo wa Ma CCM( waimba mapambio kama wewe). Kingine wazo lako ni zuri ila hakuna atakayepata hicho kitu na Hilo siyo suluhisho la tatizo