Walimu Wasiogoma Si wasaliti..

mind you the world is ruled by a mob; comprising of a few crafty people who can move the world to achieve their vision! Thus said;
"any successful revolution is achieved either by persuasion or by coersion!"

mkuu nivizuri uwaambie ccm washughulikie haraka haya mambo na si kutumia mabavu, hamuwezi mkasema waalimu na dr woote wanaichukia ccm wanaochukiwa wajiangalie vizuri!
 
Mkuu zubedayo!

Na huo u van dame wako wakati wa vita kuu ya dunia ya pili kweli wewe ungeweza ku survive?

Hata Mwenyezi Mungu anauchukia uoga!

Mkuu hujanielewa,Waliojitoa kwenye wawaache na wasiwatishe kwa kuwapiga...kama kugoma ni haki ya mfanyakazi,na ikumbukwe kila mtu ana haki ya kuamua atakalo,mwalimu kabakiza one yea astaafu umwambie agome,hawezi shiriki kamwe then umtishie kumpiga ina ingia akilini.

Mi sipingi mgomo wenu ila napinga vitisho vya wao kwa wao.
 

Si lazima kila analo amua Kiongozi wako nawe ulifate hata kama halina maslah mazuri...
 

mkuu wamesema hawajagoma katika zoezi la sensa kwani madai yao hayana usuhiano na zoezi la sensa. hata hivyo wakaongeza kuwa mkataba wao na zoezi la sensa ni tofauti ni mikataba binafsi kati ya mwal mmoja mmoja na hao wa sensa. hivyo wataendelea kugoma na ikifika muda wa sensa wataenda kutumikia majukumu hayo kwa kadri kila mwal anavyopaswa kutokana na mkataba wake katika zoezi la sensa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…