Tetesi: Walimu wastaafu kicheko

Tetesi: Walimu wastaafu kicheko

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,203
Kuna habari kwamba walimu wastaafu shule za msingi wameanza kuvuta mkwanja wao.
Wadau niambieni mafao ya mwalimu aliyefanya kazi miaka 20 pesa yake inakokotolewaje?
Wengine bado hawajapata.
 
Mleta mada toa source ya tetesi zako, au nawe unahitaji kutaarifiwa?
 
Mleta mada toa source ya tetesi zako, au nawe unahitaji kutaarifiwa?

Na share nanyi tetesi. Kama watu walishastaafu yapasa walipwe mafao yao mapema. Down with Hazina!
 
Back
Top Bottom