Umesikia wapiKuna habari kwamba walimu wastaafu shule za msingi wameanza kuvuta mkwanja wao.
Wadau niambieni mafao ya mwalimu aliyefanya kazi miaka 20 pesa yake inakokotolewaje?
Wengine bado hawajapata.
Mkuu bila shaka ww mwl unataka ujue[emoji16]Kuna habari kwamba walimu wastaafu shule za msingi wameanza kuvuta mkwanja wao.
Wadau niambieni mafao ya mwalimu aliyefanya kazi miaka 20 pesa yake inakokotolewaje?
Wengine bado hawajapata.
Mleta mada toa source ya tetesi zako, au nawe unahitaji kutaarifiwa?
Awamu hii kulipwa mafao sio haki, ni hisani tu.Na share nanyi tetesi. Kama watu walishastaafu yapasa walipwe mafao yao mapema. Down with Hazina!