Pre GE2025 Walimu watakaofaulisha Mbeya kupelekwa Dubai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upumbavu mtupu kwenda dubai ndiyo nini kwanini walimu wasilipwe mishahara kwa kuangalia ufanisi ya shule na masomo badala ya kuangalia makaratasi ya vyuoni.
 
Kweli Bongo nyoso, sasa dubai kufanya nini huko au mnataka warudi na iphone used from dubai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…