Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

Mleta mada wewe ni Zuzu.
 
Mbona ilikuwa inshu ndogo tu,diwani angefika kwenye hzo shule na kutatua tatzo,mbona huku kwetu diwani anaogopwa sana na watumishi wa serikali,halikupaswa kufika kwenye baraza la madiwani
Uwizi ni kitu kidogo? Hao walimu wanapaswa kufukuzwa
 
Halafu ni private school[emoji16][emoji16]

Last born nae alikuwa ana mtihani class 4 tulitegemea vifaa vya dada atavitumia yeye,[emoji23]

i[emoji23],mkebe,lura,penseli vinawachafulia jina[emoji16]
Walimu ni janga sometimes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…