Walimu wawakomba walimu wenzao mishahara yao.

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
2,785
Reaction score
821
Polen wlmu, (cwt) inakusanya
sh bil2.2 kw mwez kutoka ktk
mishahara yenu, na kwa mwaka
ni kiasi gani? Cwt haikaguliwi
na c.a.g mahesabu yake ,
wabunge wana shaka juu ya
viongozi wa chama
kujinufaisha , walm wapya
wanakatwa makato bila
kujulishwa, mkistaafu cwt
haijaeleza wanachama
watanufaika vipi,je ni haki
Chukueni hatua mapema,
wenzenu wanajenga ,
wananunua magari ya kifahari
kwa ajili ya mishahara ya
waalimu.
Walimu wandai hawakuomba uanachama na wala hawna kadi za uanachama ila wanalipishwa ada ya uanachama KINGUVU. Samaki mzee kazini ankula tusamaki tulitozaliwa leo kazini....!!
 

Poleni walimu; chukueni hatua kama haya yaliyoletwa hapa jukwaani ni kweli!
 
dah! pole zao....washtuke na wao...
 
Kama hiyo ndio hali ilivyo basi kunatisha, 2B kila mwezi.
 
umetumwa nini na ccm ili kuiua CWT,waalimu wakose mshikamano?wewe ulitakiwa utoe mapendekezo ili chama kiboreshwe kiwanufaishe waalimu
 
umetumwa nini na ccm ili kuiua CWT,waalimu wakose mshikamano?wewe ulitakiwa utoe mapendekezo ili chama kiboreshwe kiwanufaishe waalimu

Nasikia mapendekezo yametolewa mara kadhaa lakini huwa hayatiliwi maanani. Kwa mfano kutoa kadi kwa wanachama, kujaza fomu za kuomba uanachama, kuwakopesha wachangiaji, vyote vimegonga mwamba ati..!
 
haki ya mama adui wa walimu ni mwalimu mwenyewe.toka nimeanza kazi sijawahi sikia madiliko ya rais wa chama unategemea nn?cwt wizi mtupu! Popompooo wakubwa eti wanataka kuanzisa benk ili waendelee kujinufaisha.
 
Huu ni wizi kabisa mfano sisi walimu wa ajira mpya hilo limetukumba,hicho chama hatuku jaza fomu zozote za kujiunga na chama hicho lakini mwezi huu wametukata kwenye mshahara huu wa kwanza,hivi kweli huu ni ustaarabu kweli?
 
Cwt! hwana maana, hatuwataki, wanafiki, waende zao, bora tucwe na mwakilishi kuliko kuwa na mwakilishi ambaye ni mamluki wa ccm!
 
Ila kiukweli mm naona hawa CWT hawa na msaada wowote kwa walimu zaidi ya kuchukua za walimu na kuwaacha wakitaabika. Kwahiyo uwepo wake c lolote c chochote kwa walimu. Nawasilisha.
 
Mbona huzungumzii kodi ya(INCOME) inayokatwa kila mwezi na mafisadi? unajua serikali inawakata walimu kiasi gani kila mwezi bila huruma kwenye tumishahara tudogo? mbona husemi kauli ya dharau kwa waalimu iliyotolewa na kiranja mkuu mwaka 2010? CWT ni chama chetu waalimu na kama una mpango wa kukiua uache mara moja. Serikali inaongeza kodi kila kukicha sasa ili kutupoteza mnaibua hoja kuilaumu CWT. Mfanyabiasha mweye kipato zaidi ya mil10 kwa mwaka analipa kodi dogo kuliko mwalim wa kipato cha m3 kwa mwako,haki ipo wapi hapo. Remember when you give out the prescription don't forget to provide direction. lazima utakuwa umetumwa ww.
 
Mbona huzungumzii kodi ya(INCOME) inayokatwa kila mwezi na mafisadi? unajua serikali inawakata walimu kiasi gani kila mwezi bila huruma kwenye tumishahara tudogo? mbona husemi kauli ya dharau kwa waalimu iliyotolewa na kiranja mkuu mwaka 2010? CWT ni chama chetu waalimu na kama una mpango wa kukiua uache mara moja. Serikali inaongeza kodi kila kukicha sasa ili kutupoteza mnaibua hoja kuilaumu CWT. Mfanyabiasha mweye kipato zaidi ya mil10 kwa mwaka analipa kodi dogo kuliko mwalim wa kipato cha m3 kwa mwako,haki ipo wapi hapo. Remember when you give out the prescription don't forget to provide direction.
 
Watanzania kwa kulalamika bwana! Hivi wewe unayelalamika, unakatwa shilingi ngapi zinazokutoa roho? Usingekatwa hizo ungezitumiaje kama sio kunywea pombe? Sasa mnataka kutuaminisha kuwa CWT hawafanyi lolote?
 
Hamna cha cwt hapo ni wiztu huku hawatusaidii au kututetea clolte au kutupa taarifa,mf kuna mgogoro au mgomo wa july eti serikali ilipeleka cwt bmahakamani lkn hadi leo hawajawahi kukututaarifu maendeleo ya kesi.Shame on you Mkoba na cwt yako.
 

Yote uliyotaja ndiyo mapungufu hasa ya cwt. Wanachama wake wanatozwa kodi kubwa kuliko hata ya wafanya biashara wakubwa, chama kimelinyamazia hilo kana kwamba hakilioni, jukumu la chama ilikuwa ni kuwatetea walimu yaani wanachama wake, na sio kuwaacha wakinyang'anywa hata kiduchu wanacholipwa.
 
Watanzania kwa kulalamika bwana! Hivi wewe unayelalamika, unakatwa shilingi ngapi zinazokutoa roho? Usingekatwa hizo ungezitumiaje kama sio kunywea pombe? Sasa mnataka kutuaminisha kuwa CWT hawafanyi lolote?

Sio kwamba hawafanyi lolote inawezekana hiyo michango ya walimu chama kina-KUNYWEA hicho ulichokitaja hapo juu.
 
wAALIMU WA TANZANIA UPUMBAVU MMEZIDI(BAADHI YENU), HIVI NI KWELI HAMUONI KAZI YOYOTE INAYOFANYWA NA CWT? KWELI CCM IMEWAGAWA MKOSE UMOJA ILI IWATAWALE, HIYO 2% NDIO MNATOA POVU HIVYO?
 
pIGANENI NA SERIKALI MISHAHARA IPANDE NA GHARAMA ZA MAISHA ZISHUKE, SIO KUPAMBANA WENYEWE KWA WENYEWE!. WENGINE WANAOLETA THREAD HUMU SIO WAALIMU NI WATU WA USALAMA WA TAIFA ILI KUWAGOMBANISHA TAMBUENI HILO!!!
 
Hela za walimu ni nyingi sana haihitaji mtua aibe kwa muda mrefu. mwaka mmoja tu unatosha mtu akajipatia kagari na nyumba safi. haiwezi kuchukua muda kuwagundua viongozi kama wanaiba maana tunaishinao na kufanya kazi nao. Basi yafaa walimu kuchunguza mapato ya viongozi wao kisha hatua zichukuliwe dhidi ya wabadhirifu. La,mengine yaweza kuwa ni uchochezi tu. inawezekana ni ubadhirifu mdogomdogo tu. Ikumbukwe CWT wako ktk mchakato wa kuanzisha benki ya walimu! hili pia ni tishio kwa maadui wa walimu
 
wAALIMU WA TANZANIA UPUMBAVU MMEZIDI(BAADHI YENU), HIVI NI KWELI HAMUONI KAZI YOYOTE INAYOFANYWA NA CWT? KWELI CCM IMEWAGAWA MKOSE UMOJA ILI IWATAWALE, HIYO 2% NDIO MNATOA POVU HIVYO?

Hebu waeleze walimu kazi mbili tu...! zinazofanywa na cwt kwa faida yao. Maana unaweza kuwa unaongea tu ki-mbumbumbu huna chochote unachokijua kuhusu cwt. Waeleze walimu sasa manufaa wanayopata kutokana na cwt...!
Au una chuki binafsi na CCM maana nimeshindwa kuelewa CCM imeingiaje kwenye hii thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…