Hi wana jf.
Kama wewe ni mwalimu wa wa daraja la 3A.
Kuna nafasi tano wanahitajika saba watana watakao fanya vizuri wataajiriwa.
SIFA:
1.Awe na elimu daraja 3A
2.Anajua kingereza vizuri
3.Awe na uzoefu wa kufundisha usipungua miez sita kwenye English medium schoolz
NB:
Asiwe fresh from College
Mawasiliano:
E-mail imma.one@mocospace.com
+255713-810857