Walimu wenye likizo Desemba 2023 hawajalipwa nauli zao pamoja na serikali kutoa fedha muda mrefu

likuti

New Member
Joined
Dec 11, 2023
Posts
2
Reaction score
3
Walimu wenye likizo ya Disemba 2023 Igunga dDC hawajalipwa nauli zao ingawa serikali imeshatoa fedha muda mrefu.

Afisa Elimu amezikalia huku walimu wakihangaika nauli za likizo. Ukiwasikiliza wanasiasa wanavyojinasibu kuchukizwa na mateso ya walimu unaweza kudhani wako serious kumbe kwa ground vitu tofauti kabisa
 
Kuwa mpole IPO halmashauri ambayo haijawalipa walioomba mwezi wa 6 sembuse wa 12.
 
Nauli ya disemba niliiwekea mpango nikaumbuka. Nimewalaani sana.

Walikuwa wanachakata upuuzi gani
 
Walimu wenye likizo ya Disemba 2023 Igunga dDC hawajalipwa nauli zao ingawa serikali imeshatoa fedha muda mrefu.

Afisa Elimu amezikalia huku walimu wakihangaika nauli za likizo. Ukiwasikiliza wanasiasa wanavyojinasibu kuchukizwa na mateso ya walimu unaweza kudhani wako serious kumbe kwa ground vitu tofauti kabisa
Ata ivo mna PESA ata msipo pewa hio pesa

Kama mnaweza mchangia rais form Urais [emoji23]
 
Back
Top Bottom