Ikoje mbona nahamia ukoUnaijua halmashauri ya nyamagana wewe![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ata ivo mna PESA ata msipo pewa hio pesaWalimu wenye likizo ya Disemba 2023 Igunga dDC hawajalipwa nauli zao ingawa serikali imeshatoa fedha muda mrefu.
Afisa Elimu amezikalia huku walimu wakihangaika nauli za likizo. Ukiwasikiliza wanasiasa wanavyojinasibu kuchukizwa na mateso ya walimu unaweza kudhani wako serious kumbe kwa ground vitu tofauti kabisa
Hhatar Tena pesa y fomu imepitilizaAta ivo mna PESA ata msipo pewa hio pesa
Kama mnaweza mchangia rais form Urais [emoji23]
Aiseeh...pole teacher!!!Nauli ya disemba niliiwekea mpango nikaumbuka. Nimewalaani sana.
Walikuwa wanachakata upuuzi gani