naomba mawazo yenu walimu ambayo yatanisaidia kufanya utafiti kama bado kunaumuhimu wa lesson plan kwani kunawalimu ambao wanafundisha vizuri but hawana lesson plan wengine wanalesson plan but ufundishaji wao ni wakawaida. Hivyo swali hapa jee ufundishaji vizuri unategemea kama umeandaa lesson plan ?
Hakuna mwalimu anaejua kuwa jf ipo.

stupidHakuna mwalimu anaejua kuwa jf ipo.