Walimu wenzangu mnajiandaaje na Usahili?

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Hello,

Kwa walimu wenzangu na wenye experience na interview za utumishi, tupeane updates.

Kama ni mwalimu wa Geography inamaana nijiandae vipi? Nisome course za Education like EP, EP, Psychology,,,au nisome subject matter.

Yaani nijiandae na Geography contents. Najua interview Kwa walimu ni mara ya kwanza ila Kwa mwenye ideas, atusaidie.

Welcome.
 
Ni Jumamosi nyingine. Tuendelee kusubiri pdf na kuitwa kwenye saili.
 
Mwalimu kabisa unaogopa interview? Ukiona hujatoboa hiyo interview katoe sadaka. Mungu amekuepushia maugonvi na maafisa Elimu Pamoja na madiwani na wqzazi wanonko.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ