Walimu yawahusu

Walimu yawahusu

Bible

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
136
Reaction score
8
Hebu jionee mwenyewe nyongeza ya mishahara ya walimu kuanzia july mosi,TGTSA=355200 ni sawa 20%,TGTSB=578683 sawa 17%,TGTSC=745780 sawa 15%,TGTSD=963254 sawa 13%,TGTSE=1120657 sawa 11%,TGTSF=1382700 sawa 9%,TGTSG=1582530 sawa 6%,TGTSH=1763852 sawa 4%,TGTSI=2079635 sawa 3%,hiyo ndio hali halisi.
 
Nchi gani mkuu? kama unamaanisha Tanzania Goverment Teachers Scale urudie upya kuweka sawa.
 
Hebu jionee mwenyewe nyongeza ya mishahara ya walimu kuanzia july mosi,TGTSA=355200 ni sawa 20%,TGTSB=578683 sawa 17%,TGTSC=745780 sawa 15%,TGTSD=963254 sawa 13%,TGTSE=1120657 sawa 11%,TGTSF=1382700 sawa 9%,TGTSG=1582530 sawa 6%,TGTSH=1763852 sawa 4%,TGTSI=2079635 sawa 3%,hiyo ndio hali halisi.

Tupatie link ya hiyo nondo badala ya kutubrief bila reference, kama ndo hivo basi watu watabaki kwenye kada hii
 
haiwezekani hata kidogo jamaa atakua ameandika akiwa usingizini
 
Hii ndoto inafanana na ile ya January Makamba mtoto wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM
 
Hii ni kutoka kweny idara nyeti ya serikali
 
:majani7:

:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
 
Hebu jionee mwenyewe nyongeza ya mishahara ya walimu kuanzia july mosi,TGTSA=355200 ni sawa 20%,TGTSB=578683 sawa 17%,TGTSC=745780 sawa 15%,TGTSD=963254 sawa 13%,TGTSE=1120657 sawa 11%,TGTSF=1382700 sawa 9%,TGTSG=1582530 sawa 6%,TGTSH=1763852 sawa 4%,TGTSI=2079635 sawa 3%,hiyo ndio hali halisi.

Kama source haipo huu ni uongo mkubwa.Serikali ya tz haiwezi kupandisha mishahara mikubwa kiasi hicho....!
 
"the word impossible exists only in the dictionary of the fool" old English saying.
 
huo ndoo ukwel Kama unabisha kajinyonge
 
Ngumu kuamini!!!!!
Lakini SIRI-KALI ilisema inaandaa muundo mpya wa mishahara kwa watumishi WALIMU ambao utatumika kunzia Julai mosi.. Yawezekana ikawa hivyo. Ni suala la muda tu, tutajua tu mbivu na mbichi ya jambo hili nyeti ktk kada hii muhimu.
 
huo ndoo ukwel Kama unabisha kajinyonge

Hata kudanganya hujui hizo% haziendan na upuuz ulioandika hapo juu..anyway ni msimu wa kiangaz vichaa wengi uibuka sasa ww umeibukia JF!
 
Back
Top Bottom