Walimuita hayati Magufuli kuwa dikteta Uchwara. Sasa wanamkumbuka. CHADEMA wana wakati mgumu sana

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Alikuwa busy kuhakikisha rasilimali za umma zinawaletea maendeleo wananchi.

Akawaambia tuwe tunajikita kwenye ujenzi wa taifa baada ya uchaguzi. Then baada ya miaka mitano tunafanya siasa.Wakamuita dikteta uchwara

Leo hii wanaishi kwa uoga, hata kuweka comment Facebook na Watsap wanaogopa.

Wanaenda chooni na simu zao.
 
haya kachukue buku 7 lako...asante
 
Kwani uongo hakuwa dikteta uchwara yaani tumkumbuke mwasisi wa mauji na aliyempiga mwenyekiti wetu risasi na kuzuia asipate matibabu na azikwe chapu?
 
Yes maana hakuwa dikteta pasee alikuwa uchwara tu, Sasa ndo tumepata dikteta kamili kizimkazi.
 
Chadema ni matahira kila mtu wanampingaa sas ona
 
Uzi tayari....... 😀
Heri ya mwaka mpya 2026
 
CCM mliita CHADEMA ni SACCOS ya Mbowe mbona sasa mnalialia ni bora Mwenyekiti wa CHADEMA angebaki Mbowe!!!

Mbona UVCCM hamueleweki!
 
Ujenzi wa taifa baada ya ichaguzi ni utapeli tu.

Magufuli was a country bumpkin.

If you think otherwise, you are one too.
 
Mange mwenyewe alisema
Walimsema ila bado Magu alikuwa anapendwa
 
Yani chadema imkumbuke jiwe? Umejielekeza vibaya hebu amka usijekupoop kitandani! Chadema haijawahi kuabudu mtu masisiemu yamegawnyika hayajui cha kufanya abudl kashika maamuzi yote na shemeji mchngelwa mmebaki mnakimbiza uchawa jf na kuimba mapambio ya mama wkati mama yenu yopo busy kuneemesha familia na ukoo wake hata kwa kuua watu 10k
 
Polepole ndiye alimwita? Vipi Mwambe?
 
Jiwe Bora hata ya Samia
 
JPM atalaumiwa daima kwa kuharibu mfumo wetu WA uchaguzi, alijenga mfumo unaotusumbua sasa kwa maslahi yake binafsi, HAKUPENDA KUKOSOLEWA, akaanza kumshughulikia BEN SAANANE, mpaka leo hatujui kama yupo hai au alikuwa!

JPM alikandamiza vyombo vya habari kwa viwango vya kutisha Sana, WALIMUOGOPA wote wakahamia kumsifia hata ambapo hakustahili sifa, AZORY GWANDA alipotezwa na waandiahi wote walifunga vinywa vyao.

Huo ulikuwa mwanzo wa kuidumbukiza nchi yetu katika Giza totoro!

Sifa kubwa ya Magufuli, pamoja na udikteta huo, hakuna mtoto wake, wala mkwe wake aliyemteua kuingia kwenye nafasi za uongozi kwa mgongo wake! (Tofauti na huyu wa sasa, uongozi umekuwa Mali ya familia)

Magufuli HAKUWA MWIZI, hata kama kuna namna alinufaika kwa nafasi yake basi itakuwa alifanya kwa kificho Sana, na uwekezaji wake kwa sehemu kubwa ulikuwa wa humu humu nchini, yaani sikuwahi kusikia amepeleka pesa DUBAI, au ULAYA, Kwanza yeye mwenyewe alikuwa HAENDI HUKO, (Tofauti na huyu,analinda wezi,hakuna hatua yoyoye anachukua kuwakabili wabadhirifu WA Mali za umma)

Utekaji na uporaji wa haki za watu ulianza kwa JPM, na huyu ameuimarisha zaidi na kuukomaza kweli kweli, anataka tuuzoeee na tuone ni kawaida watu kutekwa na kupotezwa!

Huyu HAIFAI, HAIFAI, HAIFAI...KABISA!
 
Nitafanya uchunguzi juu ya utekaji na hayo uliyoyasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…