Walimwengu wanataka kunitoa roho eti sababu namdate huyu dada

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kifupi tu. Raia wengi wananitolea mijicho kama nmekula chao. Huyu dada alikuwa mke wa jamaa yangu sana. Jamaa tulisoma naye sekondari.

Mwaka juzi jamaa akavuta mkoani knjaro.ila wakati afya yake inaelekea ukingoni alinambia nimwangalie mkewe na mtoto wao mmoja.

Basi mi nikawa nawacheck kila mara maana walihamia dar nyumba yao ipo kimara.shem akaanza ku develop mapenzi kwangu.siku moja akaomba nimsindikize akapime.

Tukaenda akaomba kama sijali nami nipime.tukapima.akafurahi nikamrudisha home.aliomba sna nikae kae mpaka night kali.nikaaga.

Baada ya siku kadhaa akaniita tena weekend jumamos hiyo hakwenda job.basi tumekaa kaa....tukaanza anza mambo mambo...tuka sex. Basi ikaendelea na penzi zito.

Majirani na rafikize wakasikia eti wakaanza kumind. Why? Mimi naendeleza mshkaji alipoishia.namwangalizia mkewe na mtoto wake.tunatoka out sometime sote tuna enjoy.

Je jamaa kama yupo sehemu atakuwa amemind au ameona namjali? Why walimwengu wanaifanya issue kubwa?walitaka dada wa watu aishi bila kupata haki yake ya msingi?au walitaka achukuliwe na mtu ambaye hatojali mtoto?

Acheni hizo wadau.mtu akisha kufa hana chake tena .sisi tuliobaki tuendelee alipoishia yeye.
 
Mh huyu anaonekana anaponea tu hapo
 
sema ulikua ukimtaman toka kitambo acha kujimwambafy
 
Alifariki kawaida na muda umepita.

 
Kama amevuta ni masihara siriasi yaani mlianza kimasihara mpaka imekuwa serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…