Walinzi binafsi kwa Kondeboy na Diamond ni Business branding.

Mmh! Kumbe sio bulletproof zile?

Ila yatapita tu maana watanzania wanaigana mwisho wa siku watakuwa wanatembea na masai as bodyguard.

Mnakumbuka zamani walinzi walikuwa wamakonde baadae masai wakateka soko basi kama haya yatapita hivyo hivyo
Nakuambia pale ikisikika shaba paa! Imepigwa juu ndio utajua uwiano wa TZ bodyguard na mwanariadha.
Maana kuna mmoja utamkuta Magomeni, mwingine keshafika Buguruni nk na wote hawajui wamefikaje huko mbali na hali ya hewa ndani ya nguo zao imeharibika.
Hiyo kazi sio sanaa bali ni kujitoa nafsi to protect your package.
 
Nitafute pesa ili nami nimiliki maboxguard
 
Hahah

Kabisa mkuu.
 
branding inatengenezwa kwa kutembea na rundo la wale mabaunsa njaa?pathetic
 

uko sahihi

mimi mshabiki wa Kiba, ni kama karidhika hivi
 
Ile show ya jamafest diamond aliitwa kumsalimua Makamu wa raisi. Ule umati wote ulikua unakuja mbio kumsindikiza Nasseb, wale wazee wa gwanda za mabaka walipiga chujio la dk 3 alipita Naseb na tale. Hakuna cha baunsa wala camera man.
 
Branding ya kipumbafu (Vu) kabitha (sa).
 
Hao sio bodyguards ni wapambe. Sehemu nyingi tu wapi wapanbe wa kukodi. Ni kuonyesha thamani yako kuwa juu. Hata harusi nyingi zina wapambe wakiwa wamevaa sare wakiongozana na maharusina sio kwamba wanakuwepo siku na saa zote. Ni kwenye matukio tu.
Wapambe wanakodiwa. Wanaweza kucheza, wakawa kama walinzi, wakawa kama wasaidizi kikazi wakiwa wamekishikia zana za kazi. Baada ya tukio wanalipwa chao wanasepa.
 
s
ijaona tofauti ya Diamond na Mrisho Mpoto, zaidi /diamond anatumia "gambosh-za kiha" na Mpoto anamuamini Yesu
 
Acha uongo umewahi kuona ulinzi wa hao wasanii uliwataja?
 
Team kiba100 mtateseka sana zama hizi
 
Mbona umetetea sana mzee...
ww ndio chief strategist wa huyo jamaa..
anyway nadhani hayo yatakuwa maoni yako
wacha tumtazame Davido kama ana hizo mambo...
 
Ni ushamba tu wa kiswahili, sijaona wakina Davido/Wizkid wakifanya hivyo na still wanapasua anga zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…