Walinzi binafsi kwa Kondeboy na Diamond ni Business branding.

Umaskini na roho mbaya havijawah kuachana

Tafuten hela wakuu kila mtu ana uhuru wakufanya anachojisikia

Mtu hujachangia hata mia album hununui, shows zake huendi unajikuta una uchungu sana
 
Branding? majivuno tu, hivi hizi mbwembwe za kujikuza kupita kiasi zipo kwa wanamuziki ama celebrities weusi tu? kuvaa sijui michain ya bei ghali, walinzi rundo, kujionyesha una hela nyingi kwa nini ni weusi tu ndio wapo hivi?

Kuna wanamuzii wazungu wakubwa tu kama akina Ed Shereen,Justin Timberlake, Adam Levine, Taylor Swift, Adele wapo simple sana ila brand zao ni kubwa sana kupita wanamuziki wengi weusi
 
Justin beiber alitumia kiasi cha tshs 200,000,000 kupiga rangi rambourgin yake ifanane na nguo atakayofaa siku ya tukio flani...
 
Tafuta hela acha kulalamika
 
Hao mabodguard ata hawalipwi mzee wanataka kuonekana apo ili iwe rahisi kuombwa kwa ajili ya ulinzi sehemu nyingine kwa gharama kubwa kwa maana nyingine wanajibrand
 
1. Ni business branding (inawasaidia kujibrand kibiashara) Thamani ya msanii inaongezeka ndani na nje ya nchi

2. Ni katika kugawana riziki, wewe unadhani wasipowachukua hao bodyguards, je riziki watapata wapi katika kazi yao ya ulinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…