Walinzi holela (jadi) Ni hatari kiusalama

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Ndugu zetu wafugaji wamejipambanua kwa kazi za ULINZI, USUSI na kuuza dawa asili Sasa kuwaajiri hawa rafiki zetu bila mkataba Wala.mafunzo Ni mtihani na hatari Kwa usalama wako. Anaweza kukutaka kichwa bila kuuliza yeyote.

2. Zaidi, wapo wanaojihusisha mapenzi ya Jinsia moja bila kinga wala tahadhari kwa ujira kidogo wa 100 USD. Hapa Chukwani wanaranda randa ufukweni kuwinda na wamepanga ghetto wakisubiri wazungu tu. He, tunaelekea wapi kama taifa?
 
Nakubaliana na wewe, binafsi waliniibia nikiwa safari, wakavunja mlango wa ndani wakahama na vyote kama vyao....
 
Ila hawa wazungu especially waitalia ni konyo na ndio wamejaa zenji,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…