Mimi ni Askari wa ulinzi kutoka Kampuni ya Asgard Security Company Limited yenye ofisi zake makao makuu Kinyerezi DSM, malalamiko yangu ni kuwa hatujalipwa mishahara yetu wa miezi miwili na ninawawakilisha Wafanyakazi wenzangu kadhaa wa malindo ya nje.
Kwamba suala la kulipwa limekuwa likipigwa danadana kila ifikapo tarehe ya malipo, na mkataba hakuna, na tabia hii imekuwa ndo desturi ya kampuni kuchelewa kulipa na kufululiza miezi miwili bila malipo, ukiuliza sana unaambiwa uache kazi kwa kigezo kuwa watu wapo wanahitaji kazi.
Ukilalamika sana unatishiwa kufukuzwa na ukiacha kazi malipo yako hawakulipi tena.
JamiiForums imewasiliana na Asgard Security Company Limited kuhusu hoja ya Mdau, taarifa imepokelewa na wameahidi kuifikisha kwa Mamlaka husika ambayo itatoa mrejesho.
Pia soma:
~ Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu
~ Walinzi tunaosimamia Vituo vya Mwendokasi hatujalipwa mshahara kwa miezi mitatu, tukifuatilia tunapigwa danadana
~ Upigaji, utapeli, uliojifichika kwenye kofia ya Kampuni Binafsi za Ulinzi

===================