Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

Team fulani fulani wajifunze walau lugha za kigeni ili uzi kama hizi waweze kuchangia effective.
Sina shaka kuwa watanielewa maana kuwa team fulani alafu unataka team yako ipae kimataifa alafu hujui lugha za kigeni ni ujinga.
 
Mmarekani hapo katumia ustaarabu vingenevyo tungesikia.... 'that dude is f***ng annoying...Go tell him to leave the f***ng
stage
in less than two f***ng minutes or else we will
physically get him out of the f****ng podium, yu know what am saying?
yes shut da fuc.king mouth f urz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazungu ni shidaa
 
Umeanzisha uzi bila hata kusoma habari yote
Team at work mnang'ang'ania kumsafisha huyo mtu wenu haha
Huyu kibakuli wenu mjinga yaan lisaa lizima watu wanamgojea apande jukwani watu tuna enda na mda zima mic shuka jukwani
Yoooh yeeeah yeep pop it akaimba uko kariakoo
 

Attachments

  • 1476220764019.jpg
    14.1 KB · Views: 54
yes shut da fuc.king mouth f urz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazungu ni shidaa
Hahaha tena usije ukamess na mablack....
 
Afu hao mabaunsa wa kirisi burauni ni wanafki,watasemaje alikiba "that man" ina maana hawamjui ara keri,sasa huyu Ali kiba ( that man/bwana yule) ndo aliimba na ara keri ile songi la world stand uuuuuuuuuuup,yoooooo.
 
That man ameniacha hoi, eti anasema Sallam alikwea pipa kutoka dar hadi mombasa ili akamzimie mic
 
Pole kiba
 
Nimemsikia Kiba live... amemuhusisha Sallam kwa 100% vinginevyo alikuwa na sababu ipi ya kuhusisha kuzimika kwa mic na kuonekana kwa Sallam backstage?!
Ametaja kama salaam ndiyo kazima mic?? Bas kazi
 
Ametaja kama salaam ndiyo kazima mic?? Bas kazi
Ali Kiba huyu akieleza:


Alichokisema ni hiki hapa:
"..........Sasa sikujua ni kitu gani ambacho kimefanya hadi mtu amekuja pale ame-disconnect mic na nini... halafu kuna vitu ambavyo sijavielewa jana vilikuwepo pale. Mi pia sijafurahishwa navyo. Yah, nilimuona Meneja wake Diamond alikuwepo pale. Anafuata nini backstage wakati mimi na-perform! Yeye anahusika kama nani! Haileti picha nzuri! Umeona, kwa sababu hata kama watu wanafikiri kwamba... of course hatuna bifu, lakini sasa umefuata nini na vitu kama hivyo vina-happen! We unafikiria watu watafikiria nini! Umenielewa? Kitu gani kimemfanya aje! Kuna watu wengi wa kukaa VIP, unaweza kuangalia shoo! Umekuja kwenye shoo, kaa kwenye VIP... angalia show! By the way ulikuwa unafanya nini backstage wakati mimi na-perform!"

Kwanini Sallam alikuwa backstage, Sallam mwenyewe huyu hapa:
 
tatizo ni la waandaaji sababu wenzetu from abroad wanazingatia sana kitu kinachoitwa mdaa we angalia toka mwanzo system ya kuita msanii ili aperfom utafikiri walikuwa wanafanya suprise sema uzuri kibba hata angepiga nyimbo moja nusu mkwanja upo palepale wengine hata single coin tukibishana hatupati haha by raykidd
 
Sio dharau mkuu wenzetu wanazingatia muda, muda chriss brown kutumbuiza ushafika na ilitakiwa akishamaliza apande ndege aondoke. Waafrica swala la kuzingatia muda ni.mtihani tunaofeli kila siku
A Kiba kataka mwenyewe kudharauliwa kwa kulazimisha kujikweza
 
Umeanzisha uzi bila hata kusoma habari yote
Team at work mnang'ang'ania kumsafisha huyo mtu wenu haha
Yaani wee chizi,hadi bado umeshilikilia ujinga wa kiba?
 
Hebu basi use ur common sense!! Salam SK ni nani, mpaka a command watu wakate mic kwenye show Kama ile? Yeye anahusika nini? Zakuambiwa changanya na zako braza!! Hivi unajua mic inazimwaje?
Mkuu huyo common sense zake bado ni zero tu hawezi zitumia akachanganua jambo
 
Imefika stage Kiba ana fananishwa na Lipumba

Maana wale jamaa wakimuita "that man" maana yake "bwana yule"

Daaaah!! Maskin Kiba

Cc Tua Ngoma
Ahsante mkuu kwa idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…