Walinzi wa Chriss Brown ndio waliomzimia microphone Ali Kiba

Kama habari ni ya kingereza siku nyingine na kichwa cha habari kikiwa lugha sawa inakuwa poa unajiandaa kusoma kirengeza
 
Imefika stage Kiba ana fananishwa na Lipumba

Maana wale jamaa wakimuita "that man" maana yake "bwana yule"

Daaaah!! Maskin Kiba

Cc Tua Ngoma
Ahsante mkuu kwa idea
Ahahahahha wamarekani sio watu wa mchezo mchezo yaani wameona king na propesa pumba ni ndugu.
 
Ahahahahha wamarekani sio watu wa mchezo mchezo yaani wameona king na propesa pumba ni ndugu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh
Wote ni ving'ang'anizi , wakaona jina la bwana yule lina mfaa hadi anaye ng'ang'ania wiz kid a perfom kabla yake eti yeye ndio msanii mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…