Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Nakuelewa kwa mbali
 
Kwasasa bora ukae kimya maana unaendeshwa kwa remote njaa mbaya sana
 
Hata kama unajipendekeza sana kwa njaa njaa zako not to that extent.

Watu Maisha yao yapo hatari wewe kitu zima unakenua tu hata judgements huna kabisa kwakua hayakuhusu. Huu utumwa ni mbaya sana
 
Yaani kwasasa umekuwa hovyo namna hii
 
Huna akili we mzee, naumia sana kuona unaandika ujinga, eti inaweza kuwa kiki. Leo naamini wewe ndio ulimchongea Kabendera mwanzo sikuamini, mpaka jana nilipoona thread yako unaomba twitter ifungiwe Tz, nimekudharau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…