Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Niliona jana usiku Kigogo anasema Sabaya kapewa silaha na OCD Hai hawakujua zinaenda kutumika kwa kazi gani, kumbe ndio kazi yenyewe hiyo.

Huu utawala wa Magufuli ni laana kwa hili taifa.
Hadithi nyingi zinazomuhusu Sabaya ni uongo wenye mapembe.
Na kwa wakazi wa Hai wanamuona Sabaya kama mkombozi wao

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Chama cha Mbowe hovyo kabisa Watanzania sio wajinga Tunachagua Maendeleo, tunachagua amani, tunachagua mshikamano. Ninyi na mabeberu wenu, hukohuko.
 
Mbowe ana namba ya IGP kwa nini asimpigie simu kumjulisha hilo?
 
Reactions: mmh
Nakuheshimu sana ila unajiaibasha siku hadi siku hivi mtu anaweza kuchoma office yake na ndani kuna document kadhaa eti anatafuta attention? Huoni watu hawana imani tena mpaka wanasema Nondo alijeteka hivi hiyo inakuja kichwani sasa nani hapo analeta hekaya za Abunuasi?
 
Toka uandishi habari nguli hadi Ukanjanja njaa.
 
The end justifies the beginning. Destiny can not be reshaped. Mbowe remains a national icon.
 
Yaani wewe kazee unazeeka vibaya sanaa!
 
Only a few degrees of temperature remaining to the boiling point.
 
CCM bila hila na uhuni hakuna chama wanaweza kukishinda
 
Kuna watu kama hawa wanaojulikana kabsa, wanatakiwa wanatekwa ili waone kua hivi ni vita vya pande zote mbili. Maana akina Mayala na chama chake wanahisi wao ndo wana haki ya kufanya huo uhuni halafu wanakuja na propaganda za kusema kiki tu hiyo
 
B
Braza Pascal Mayalla

Tumekuzoea. Busara zako zinakuletea madhara hata ukiwa ikulu. Wacha wenye povu walete tuoshee bajaji.

Kila la kheri kwa uchaguzi mkuu.
 
Hata wewe Pascal? Kwa nini upande wa pili wakiripoti matukio kama haya tunatanguliza mashaka kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…