Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Huwa naheshimu michango yako na pia kukutea wanapokutukana. Lakini kumbe wako right. Unaongea mipasho badala ya ku argue objectively. Pathetic!
 
Huwa naheshimu michango yako na pia kukutea wanapokutukana. Lakini kumbe wako right. Unaongea mipasho badala ya ku argue objectively. Pathetic!
Kwani huoni kuwa huo ni uzushi wa kitoto kabisa ,acha ujinga ndugu yangu
 
Unatekaje mlinzi afu unamwacha anayelindwa huu ni uzwazwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mwenyekiti wa Cdm Jana kang'olewa meno naye anajifanya ?!. Hujui machungu wanayopitia wapinzani. Hata Lissu mlidai amejishambulia mwenyewe [emoji107]
 
Njaa +kura 0
 
Wewe paschal umekuwa mtu mjinga kuliko wale wa Lumumba, pumbavu kabisa
 
Yaani Wewe ni Mlinzi halafu unatekwa pumbavu kabisa...Wajua mambo mengine muache kulia lia Mlinzi unatekwaje??? Where were you by the time wanakuteka??? Si na wewe ungejibu mapigo???
 
General Mangi unataka kuharibu siku yetuu
 
Huna akili we mzee, naumia sana kuona unaandika ujinga, eti inaweza kuwa kiki. Leo naamini wewe ndio ulimchongea Kabendera mwanzo sikuamini, mpaka jana nilipoona thread yako unaomba twitter ifungiwe Tz, nimekudharau sana.
Huyu mpumbavu tangu alipoitwa kuhojiwa bungeni amekuwa na mafunza kichwani
 
Cha kuchekesha nini sasa hapo, hao walinzi ulitaka wa-open fire ili mje na vichwa vya habari Mbowe ashambulia civilians?
Chakuchekesha ni kuwa iweje yeye mbowe anayedai maisha yake yapo hatarini asitekwe au kudhuliwa na hao watu ikiwa walinzi wake wamefanikiwa kutekwa?😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…