Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Tanzania ndio nchi pekee duniani wezi wanaweza kuvamia wakaiba mbwa halafu wakaaacha vitu vingine.
Hivi vimbwanga
 
Katika Jimbo la Hai suala la ulinzi wamejitahidi sana kwa ninavyo waona walivyo jipanga. Nipo Machame Post office. Sasa hivi naelekea tarafa ya Kalali, Sonu, Nkwarungo na Nkira. Nitaelezea yanayo endelea.
 
Kujipendekeza utaacha lini
 
Mbowe Ndio mana wanasema Uenyekiti Muachie Lissu mana wewe ni kulia lia tu mda wote unalialia tuuu.... Na Ndio wakutoe umezidi kulia lia...Hivi Mlinzi una silaha unatekwaje??
 
Walinzi watekwa anaelindwa kabaki😀😀. Mbowe mzee gani unakuwa muongo muongo ivo?
 
Yamelewa konyagi yakadondoka kutoka kwenye gari la Mbowe, akayaacha, nashauri arudi njia aliyopita atayakuta tu mtaloni!
 
 

Kama kawaida ya Manyang'au wa CCM na harakati zao ovu!!
"Uchaguzi HURU na Haki" by NEC- (National Election Criminals)!!!!
 
Hivi kule Dodoma alipigwa kweli au aliteleza tu?
 
Ameshatoa taarifa polisi?
Hawezi toa taarifa polisi maana watataka kuchunguza nae hataki uchunguzi Wala majibu, unakumbuka alivyolalamika polisi walivyotaka kuchunguza alivyoporomoshwa na nyagi?
Mmawia kakimbia jukwaani baada ya mbelgiji kususiwa na viongozi wote wa saccos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…