Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Nilikusoma kipindi kile nilishangaa sana ukweli umeanza kuonekana na watekaji majina yanatajwa hovyo mahakamani pamoja na wanaoutupa watu usitoe ushahidi kwa kitu usichokijua kisa Tumbo ushakua mtu Mzee karma ipo kwa kutetea maovu...Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Huu ujinga bado upo kichwani mwako?Hizi raids nyingine japo zinaripotiwa kama raids, kuna nyingine sometimes sio raids bali ni kiki na tactics!. Tuliona kwenye lile shambulio la kuvunjwa mguu, tuliona kwenye lile tukio la moto ofisi za Chadema Arusha, hivyo kutokana na hali tete ya mtu kuchagulika au kutochagulika, anything can happen, this time it might be true ni thugs, it might be ni wanausalama wetu, and it might be ni kiki tuu!.
Kwenye hili la Mhe. Mbowe, kanuni ya hadithi ya mtoto na mbwa mwitu kwenye hadithi za Esopo na hadithi za Wayunani, applies, kwa vile it has happened once, it might happen again.
P
Ngoma PGO ilianzia huku niniMgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini
Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili
Mbowe anasema anaamini watu hao waliowateka walinzi wake wanalindwa na mamlaka
Unaelekea kuiamini kk ?Sitaki kuiamini hii habari kabisa.
Muda ni mwalimu muhimu sanaWalinzi wanatekwa na anayelindwa hatekwi. Basi huna sababu ya kuwa na walinzi
Tena ameshaweka hadharani msimamo kuwa ni kesi halali na ushahidi upo wa kutosha kuthibitisha ugaid sijui ndio huu tunaousikia au mwingineSiku hizi Kigogo kaamua kuungana na watekaji kuwa mpiga debe wao, tutaelewana tu na "harakati" za matumbo yao.