Christopher Wallace JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 1,479 Reaction score 3,788 Jan 24, 2025 #1 Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,961 Reaction score 3,466 Jan 24, 2025 #2 Anaogopa nini... mwl Nyerere aliwahi kusema..mkiona (wao viongozi) tumeongeza ulinzi..jueni tunawaibieni raslimali zenu
Anaogopa nini... mwl Nyerere aliwahi kusema..mkiona (wao viongozi) tumeongeza ulinzi..jueni tunawaibieni raslimali zenu
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 2,049 Reaction score 5,449 Jan 24, 2025 #3 Mbwembwe zisizo na maana yoyote zaidi ya maigizo. Ulimwengu wa Leo ulinzi ni teknolojia na weledi tu.
Mbwembwe zisizo na maana yoyote zaidi ya maigizo. Ulimwengu wa Leo ulinzi ni teknolojia na weledi tu.