Walinzi wa serikali wakiondoka nyumbani kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Uganda

Walinzi wa serikali wakiondoka nyumbani kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Uganda

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,093
Reaction score
7,229
Walinzi waliokuwa wakilinda nyumbani kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Uganda Amama Mbabazi. Ama kweli mchezo wa wenyewe.
Soma CV yake kwa kifupi tu.

During his 28 years of service in government, Mbabazi worked as

a)director general of External Security Organisation (1986-1992),

b)
minister of state for Defence (1992-1997),

c) minister of state in the office of the president for Political Affairs (1997-1998),

d)
minister of state for Regional Affairs (1998-2001),

e)
minister of Defence (2001-2006),

f)Attorney General (2004 -2006),

g)minister of Security (2006-2011) and as

h) prime minister (2011-2014).
 
Attachments

  • ug1.png
    ug1.png
    165.4 KB · Views: 1,306
  • ug2.png
    ug2.png
    154.9 KB · Views: 1,191
  • ug3.png
    ug3.png
    144.8 KB · Views: 1,138
  • ug11.jpg
    ug11.jpg
    62.5 KB · Views: 1,204
  • ug8.jpg
    ug8.jpg
    52.9 KB · Views: 1,076
  • ug 5.jpg
    ug 5.jpg
    23.5 KB · Views: 1,060
Nasikia dereve wake mjeshi alikimbia zoezi wajeshi wakamfuata nyumbani kwake wakamchomoa na kumrejesha kambini.Dereva wake kafanya kazi ya kumwendesha zaidi ya miaka 28.

Yaani we acha tu, mke wake aliwasihi sana ila jama walikomaa kuamsha oya oya....yaani utafikili PM alikuwa kiongozi wa waasi.
 
Attachments

  • ug9.jpg
    ug9.jpg
    54.5 KB · Views: 855
Mkuu MeinKempf naona Museveni na Kagame wanafanana kwa vitu vingi.

Yaani we acha tu, mke wake aliwasihi sana ila jama walikomaa kuamsha oya oya....yaani utafikili PM alikuwa kiongozi wa waasi.
 
Last edited by a moderator:
Siasa ni mchezo mchafu aseeee!! Kwahiyo jamaa ving'ora ndio byee byeee!!
Yaani hii mambo yote ya kufunga bara bara ili PM apite au familia yake ikatize ndo kwishnei ....yaani kuna uwezekano tena akaanza kuishi kwa kujificha na kukimbia kimbia mafichoni kama digi digi au shekau wa boko haram , yaani maisha ya siasa ni kama gwaride.
 
Attachments

  • ug6.jpg
    ug6.jpg
    43 KB · Views: 729
Kwani imekuwaje au nini kimetokea mpaka hivyo?
Duru zinaonesha kuwa alitangaza nia ya kugombea kiti cha mkulu wa kaya (kama tuntemeke sanga alivyomjibu babu kipindi kile), matokeo yake ameingia matatani na mamlaka za pyong yang zin mshughulikia bara bara.
 
Attachments

  • UG 4.jpg
    UG 4.jpg
    37 KB · Views: 640
  • ug23.jpg
    ug23.jpg
    30.7 KB · Views: 630
  • ug28.jpg
    ug28.jpg
    35.8 KB · Views: 658
Bado makosa ya kigaidi, kusuka njama, sijui nini na nini yaani sijui kama hatoshtakiwa iwe kweli au kusukumiwa!!!
 
Huyu Mhe. Anaonekana ana uzoefu mkubwa wa serikalini na jeshini, lakini, ameshindwa kufaulu somo la kumtambua Museveni.
^^
 
Bado makosa ya kigaidi, kusuka njama, sijui nini na nini yaani sijui kama hatoshtakiwa iwe kweli au kusukumiwa!!!

Waweza kuta hata aka kamatwa kwa kosa la uzembe na uzururaji, ili mladi tu wa deal naye perpendicularly
 
Attachments

  • ug15.jpg
    ug15.jpg
    60.2 KB · Views: 399

Attachments

  • u27.jpg
    u27.jpg
    37.6 KB · Views: 379
  • ug 13.jpg
    ug 13.jpg
    27.2 KB · Views: 376
Yaani hii mambo yote ya kufunga bara bara ili PM apite au familia yake ikatize ndo kwishnei ....yaani kuna uwezekano tena akaanza kuishi kwa kujificha na kukimbia kimbia mafichoni kama digi digi au shekau wa boko haram , yaani maisha ya siasa ni kama gwaride.

ukisikia nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza
 
Back
Top Bottom