mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Yaani hii mambo yote ya kufunga bara bara ili PM apite au familia yake ikatize ndo kwishnei ....yaani kuna uwezekano tena akaanza kuishi kwa kujificha na kukimbia kimbia mafichoni kama digi digi au shekau wa boko haram , yaani maisha ya siasa ni kama gwaride.
Hilo jumba kama sio la serikali ni zuri sana, mwenye picha ya nyumba ya museven atuwekee.
Hilo jumba kama sio la serikali ni zuri sana, mwenye picha ya nyumba ya museven atuwekee.
Waweza kuta hata aka kamatwa kwa kosa la uzembe na uzururaji, ili mladi tu wa deal naye perpendicularly
Huyu Mhe. Anaonekana ana uzoefu mkubwa wa serikalini na jeshini, lakini, ameshindwa kufaulu somo la kumtambua Museveni.
^^
Na ndiyo maana wanasiasa wengi ni wanafiki siku zote, wanacheka hata pasipochekesha wanapiga makofi pasipotakiwa ili mradi kuonekana kama mmoja wao.
Ila yeye makosa yake yameonekana mapeeema.
Kwangu hili ni fundisho,kama alitumika kuwakandamiza wenzake akina Kiiza B,na sasa wakati wake umefika.
Waliopo madarakani Wakumbuke kuwa wakiyatumia vibaya madaraka hayo kuwafanyia wenzao visa huu ni ujumbe kwao kuwa
MWOSHA NAYE HUOSHWA.
Kiongozi hii ndio AFRICA wakati huku mitaani tunadhani kung"ang"ania Mamlakani nikutokana na kutaka PESA lkn kunazaidi ta Pesa manake mtu km M7 na Genge lake cdhani km wanashida ya Pesa,,,!!
Hivi katiba ya ug inasemaje kuhusu kugombea urais