K Kwame Nkrumah JF-Expert Member Joined Dec 2, 2008 Posts 886 Reaction score 376 Mar 1, 2009 #1 Kuna hiyo heading hapo juu katika http://ippmedia.com/ipp/alasiri/2009/02/28/132567.html, lakini haifunguki,Kuna ka-nzi kapo huko kutujuvya ??
Kuna hiyo heading hapo juu katika http://ippmedia.com/ipp/alasiri/2009/02/28/132567.html, lakini haifunguki,Kuna ka-nzi kapo huko kutujuvya ??
B Baija Bolobi JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 1,093 Reaction score 1,733 Mar 2, 2009 #2 Sasa ni kama wiki mbili, items za ippmedia/alasiri hazifunguki. Ipp watueleze kuna nini?