Walinzi wetu.

Walinzi wetu.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Kuna jamaa alienda kwenye maduka pale Mnazi Mmoja na kupaki gari lake,kulikuwa na mlinzi akamwambia 'niangalizie gari nikija nitakupa mia tano',baada ya dakika kumi mlinzi akamfuata kwenye duka na kumwambia 'nilikuwa upande wa pili wezi wameiba gari lako'
Jamaa akasema 'kwanini hujawazuia'
Mlinzi akajibu 'sikuweza lakini usijali nimeandika namba ya gari lako'
 
Back
Top Bottom