Walinzi wote Tulioko JF Tukutane Hapa

Walinzi wote Tulioko JF Tukutane Hapa

Jum Records

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
547
Reaction score
554
Licha ya hii kazi kua na ujira mdogo, Pia ina changamoto kubwa sana... Mimi pamoja na Elimu yangu ya chuo kikuu(science) nafanya kazi hii..
 
Tatizo mbu. Kuhatarisha maisha na wife kukaribisha vijana kwenye kitanda chako ilhali wewe uko kwenye baridi. Mvua vumbi nk
 
Back
Top Bottom