Walio anza maisha mikoani na wakafanikiwa!

Walio anza maisha mikoani na wakafanikiwa!

Doctor Chriss

New Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
4
Reaction score
3
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post.

Nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
 
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
Ungeandika kwa ID ya siku zote, lisingeharibika jambo
 
Back
Top Bottom