Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677