WALIO ANZA MAISHA MKOANI WAKAFANIKIWA!

WALIO ANZA MAISHA MKOANI WAKAFANIKIWA!

Doctor Chriss

New Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
4
Reaction score
3
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
 
Daaah mkuu ila mkuu shukrani pia kwakushare nasisi hili tatizo
 
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
Dar maboksi mengi sana, tafuta chumba cha buku 10000 na boksi lsla 3000 maisha yataanza na utanunua godoro lako.Usipende anasa wakati huna kitu.
 
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
Unavolunteer maeneo ya wapi huku dar,kwa Sasa unakaa dar upande gani?kwa Nini hukujieleza kwa watu unaofanya nao kazi wakusaidie Hilo tatizo?
Tuanzie hapo kwanza ili tujue tutakusaidiaje
 
Kwanza tambua wapo watanzania wengi wenye matatizo zaid ya ww,cha pili tunamashaka na hiyo kauli yako ya kusema unahitaji godoro la kuanzia wakati huo unamiki smartphone mpka unaingia jf, kwa nini usiuze hiyo simu ununue godoro? Ila ni ushauri tu mkuu kama utaupokea
 
U cant be serious with life.

Mtu ambaye anaanza maisha na hana personal savings hata Tsh 1 Million namuona hayuko serious.
 
U cant be serious with life.

Mtu ambaye anaanza maisha na hana personal savings hata Tsh 1 Million namuona boya sanaa.
Mkuu umekosea sana kwa kauli yako.
Duniani Kuna matajiri na maskini.
Watu wote duniani wangekuwa mabilionea ingekuwaje?Nani ungemtuma akulimie shamba lako?
Na kingine Ina maana hata mzazi wako wa kijijini Kama alishindwa kusave milioni moja naye ni boya?
 
Acha na swala la wazee....kwa kijana aliyefika elimu ya atleast diploma na kuendelea kwa karne hii ya utandawazi. Huwezi kosa Tsh 1 Million (Kama we ni mpambanaji)

No No No.....
 
Kauri ya kifedhuri, acha kauri kama hizi una hisa kwa mungu.

There z nothing about kumkufuru Mungu hapa.

Vijana wengi wao wanapenda starehe za kishamba sana....mimi bado nimesimamia mtazamo wangu pale pale.

To start unajua hawa watu smartphones zao bei gani ?? Bundle ?? Hapana Bana. NO !!!

Let alone hela ya godoro.
 
Acha na swala la wazee....kwa kijana aliyefika elimu ya atleast diploma na kuendelea kwa karne hii ya utandawazi. Huwezi kosa Tsh 1 Million.

No No No.....
Kuna intake ngapi ya wasomi wapo mtaani hawana kazi?au umejipima wewe peke yako ndio ukageneralize?
Halaf maisha hutofautiana,Kuna levels nyingi sana za maisha.
Ingekuwa hvyo watu Kama mo dewji wangejitokeza na wao waseme kwamba watu wasio na akiba ya bilioni 3 kwa akaunti zao ni maboya tu,maana hao wamevuka level hyo.
 
Hapo kwenye neno “ boya “ nakubali nafuta kauli. Ila mtazamo wangu upo pale pale.

Kaka niamini ukiwa mchakarikaji na huchagui kazi. Tsh 1 M lazima uwe nayo mfukoni.

Wapo watu wanaosha magari na videbe hyo hela wanayo na zaidi...why not any other mid 20’s kid ??
 
Ni sawa lkn bado Nina hoja za kukupinga tena.
Naweza nikakuuliza kwa nini umechagua milioni moja na sio kiasi kingine Cha pesa?
Maana Kuna baadhi ya watu hyo milioni moja ni matumizi ya siku moja tu,lkn Kuna mwingine milioni moja ni matumizi yake ya mwaka mzima.
 
Acha na swala la wazee....kwa kijana aliyefika elimu ya atleast diploma na kuendelea kwa karne hii ya utandawazi. Huwezi kosa Tsh 1 Million (Kama we ni mpambanaji)

No No No.....

Shukuru Mungu kwa hicho.ulichonacho...aisee una" matharau"
 
Hapo kwenye neno “ boya “ nakubali nafuta kauli. Ila mtazamo wangu upo pale pale.

Kaka niamini ukiwa mchakarikaji na huchagui kazi. Tsh 1 M lazima uwe nayo mfukoni.

Wapo watu wanaosha magari na videbe hyo hela wanayo na zaidi...why not any other mid 20’s kid ??

Hebu kuwa serious na ww..1m?hapana..atleast sema 100k..mbn hata wafanyakza ukipitishwa msako sasa hv hawana...maisha ya kitaa sio rahis km unavyosema...no no no
 
Back
Top Bottom