Doctor Chriss
New Member
- Jun 25, 2019
- 4
- 3
Daaah mkuu ila mkuu shukrani pia kwakushare nasisi hili tatizoVijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
Dar maboksi mengi sana, tafuta chumba cha buku 10000 na boksi lsla 3000 maisha yataanza na utanunua godoro lako.Usipende anasa wakati huna kitu.Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
Unavolunteer maeneo ya wapi huku dar,kwa Sasa unakaa dar upande gani?kwa Nini hukujieleza kwa watu unaofanya nao kazi wakusaidie Hilo tatizo?Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo Anisaidie walau godolo la kuanzia maisha najua kila mmoja ametokea mbali kama ukiguswa basi Muenyezi mungu awabaliki Sana naomba Tuwasiliane +255788197677
Mkuu umekosea sana kwa kauli yako.U cant be serious with life.
Mtu ambaye anaanza maisha na hana personal savings hata Tsh 1 Million namuona boya sanaa.
Mkuu umekosea sana kwa kauli yako.
Duniani Kuna matajiri na maskini.
Watu wote duniani wangekuwa mabilionea ingekuwaje?Nani ungemtuma akulimie shamba lako?
Na kingine Ina maana hata mzazi wako wa kijijini Kama alishindwa kusave milioni moja naye ni boya?
Kauri ya kifedhuri, acha kauri kama hizi una hisa kwa mungu.U cant be serious with life.
Mtu ambaye anaanza maisha na hana personal savings hata Tsh 1 Million namuona boya sanaa.
Kauri ya kifedhuri, acha kauri kama hizi una hisa kwa mungu.
Kuna intake ngapi ya wasomi wapo mtaani hawana kazi?au umejipima wewe peke yako ndio ukageneralize?Acha na swala la wazee....kwa kijana aliyefika elimu ya atleast diploma na kuendelea kwa karne hii ya utandawazi. Huwezi kosa Tsh 1 Million.
No No No.....
Kuna intake ngapi ya wasomi wapo mtaani hawana kazi?au umejipima wewe peke yako ndio ukageneralize?
Halaf maisha hutofautiana,Kuna levels nyingi sana za maisha.
Ingekuwa hvyo watu Kama mo dewji wangejitokeza na wao waseme kwamba watu wasio na akiba ya bilioni 3 kwa akaunti zao ni maboya tu,maana hao wamevuka level hyo.
Ni sawa lkn bado Nina hoja za kukupinga tena.Hapo kwenye neno “ boya “ nakubali nafuta kauli. Ila mtazamo wangu upo pale pale.
Acha na swala la wazee....kwa kijana aliyefika elimu ya atleast diploma na kuendelea kwa karne hii ya utandawazi. Huwezi kosa Tsh 1 Million (Kama we ni mpambanaji)
No No No.....
Hapo kwenye neno “ boya “ nakubali nafuta kauli. Ila mtazamo wangu upo pale pale.
Kaka niamini ukiwa mchakarikaji na huchagui kazi. Tsh 1 M lazima uwe nayo mfukoni.
Wapo watu wanaosha magari na videbe hyo hela wanayo na zaidi...why not any other mid 20’s kid ??