Walio appeal mikopo TCU

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
54
Jaman niulize vp walio appeal mikopo majina yanatoka lini?
 
dah!! hata haifaamiki lini,ila nadhani mwezi wa pili ndiyo watatoa!!
 
mi ndo hua naelewa hivo maana mimi pia nineapeal na jana nilikwenda bodi ya mikopo kuweka mambo sawa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…