Walio apply udzm 2012 soma hapa

Walio apply udzm 2012 soma hapa

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!

1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12

But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7
 
Daaah me ntaomba tena mwakani bhana maaaana ............
 
Kwani washatoa selection??

jamaa angu baba ake ni profesor pale udzm kaja hme kwao na cd ya admissn ndo kanichekia yangu ka vp ni2mie jina lako akachekie
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Mwana nlitupia acturial boy wakat ckuwa nmefaulu.....mmmmmmmhh
 
civil engeneering wisho 8.5
Ming engeneering wisho 9.5..
Mwaka huu UDSM imechukua vichwa tu..
 
civil engeneering wisho 8.5
Ming engeneering wisho 9.5..
Mwaka huu UDSM imechukua vichwa tu..

mmh mwana we acha 2 bt kama ulijaza ma wildlife management pamoja na aquatic and envronment jua umepata coz kuna washkaji wangu walikua na 3 za kumi na tano na wameenda
 
oyo mwenye taarifa za ba-psm ya muccobs vp huko nako taiti?
 
daaaah napatamani huko juuu, ila kama ishaanza kuzingua selection asubuh iiii 2tafika kweli? goja 2vute msuli+ maombi.
 
daaaah napatamani huko juuu, ila kama ishaanza kuzingua selection asubuh iiii 2tafika kweli? goja 2vute msuli+ maombi.

vp man kwani ulijaza kozi ipi? Bt ka ni biashara kama huna cha nane jua ushaikosa udzm
 
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!

1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12

But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7

sijui wapi kutakua na unafuu daaah!!!
 
Back
Top Bottom