civil engeneering wisho 8.5
Ming engeneering wisho 9.5..
Mwaka huu UDSM imechukua vichwa tu..
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!
1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12
But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7
jamaa angu baba ake ni profesor pale udzm kaja hme kwao na cd ya admissn ndo kanichekia yangu ka vp ni2mie jina lako akachekie