alex ytpamba
Member
- Jul 11, 2013
- 22
- 17
kwa wale wa galanos., vp kuhusu joining istruction..!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu kweli kuna mdogo wangu katupwa hapo
Nimechaguliwa hapo galanos...nitafute hapa 0769544596
Oyo comb gan...! pale me wamenchagua EGM
kwan we hukutaka egm, mimi nami wamenivuta egm
Nimesoma huko mimi ni nzuri ndipo aliposoma kikwete ila kunakuchunga ng'ombe kila eiki kwa zamu na kulima sana bustani za michicha na mahindi ni skuli ya kilimo iko nje kidogo ya mji wa tanga eneo moja hivi kwa jina ni Majani mapana karibu na kambi ys jeshi na uwanja wa ndege. Ni kitabu tu tena u.ajisomea mwenyewe breakfast ni uji kila siku sukari yako lunch ugali maharagwe na wali nyama kila jplii kande jumamosi
sio used, wamentumia wao wenyeweIko wap tuione au used ya mtu.