mchlmmnl2
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 168
- 54
Kwa upande wangu naona wanafunzi wote waliofanya application TCU waiachie muda wa kupanga vyuo na sio kukaa na kulalamikia TCU tangu jana jioni watu walikua wanalalamika profile zao zinaonesha hawajafanya apllication yoyote. Lakini leo jioni TCU wameonesha hizo profile zipo PROCESSED maanayake walikua wanazifanyia kazi. Ningependa wanafunzi watulie mpaka hatua ya mwisho na kupunguza kupanic naimani vyuo watapata tu.
Ahsanteni.
Ahsanteni.