Walio fanya application tcu

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
54
Kwa upande wangu naona wanafunzi wote waliofanya application TCU waiachie muda wa kupanga vyuo na sio kukaa na kulalamikia TCU tangu jana jioni watu walikua wanalalamika profile zao zinaonesha hawajafanya apllication yoyote. Lakini leo jioni TCU wameonesha hizo profile zipo PROCESSED maanayake walikua wanazifanyia kazi. Ningependa wanafunzi watulie mpaka hatua ya mwisho na kupunguza kupanic naimani vyuo watapata tu.
Ahsanteni.
 
HAo wote n vitasa,TCU walitoa nafasi ya kutuma coz nyingne moja ili zikamilike coz 6,sasa wakikuta empty wanalalamika wakat n lugha nyepes kuwa walhide zle nyngne ili wasifanye edittin dats ol,,,,,,tatzo ndo hvo kzaz cha mbumbumbu kinakuja Tz,walim wote hakuna daraja 1,unategemea nn
 
nimefanya hivyo nanilijibwa yes kwahy itakuaje hapo
 
Ahsante sana mkuu wang umeeleweka sana na nashukuru kwa maelezo yenye kuonesha unajali maana kuna watu humu wamekalia kukosoa bila maelezo hawajakombolewa na elim yao
 

2nashkuru kwa ku2tia moyo..
 

Umekurupuka mkuu tafuta info kamili upost vitu venye mantiki sio kuropoka tu...nani ametoa nafasi ya kuapply coz ya 6...lugha nyepesi unayozungumzia wewe ni ipi...c ajabu we ni 4m2 failure
 

Nauliza tu....wewe na mbwiga88 mna undugu???...au ndo wote mnafanya kazi tcu???....sa unajifanya unajua kumbe ndo zero kabisa..majanga
 

acha upotoshaji wewe kuna watu walifanya ka unavosema wao lakn system ilipokaa sawa ile walioiongeza haikuonekana zpo tano zilezile sa wewe ya sita nani alikwambia! FIKIRI KABLA YA KUROPOKA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…