Walio sema mtihani urudiwe kusahiswa wana akiri timamu kabisa sio nyiye mnaopinga.

Yaledi julius

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
39
Reaction score
6
Walipo feli mlisema,serikari ina tupeleka wap?haya wamerudia kusahihisha bado mnasema tu, hivi nyinyi wabongo hamuishiwi maneno? Kaeni kimya tusikilize jinsi itakavyo kua maana hata wakirekebisha mtasema tu .
 
Kumbe kurudia kusahihisha ndiyo "hufaulisha",
Kusoma miaka mi-4 shule ina Mwalimu mmoja ndiyo kunatatuliwa na kuridwa kusahisha?
Kujaziwa Zombie kwenye answer sheet kunabadilika na kuwa majibu sahihi unaporudia kusahihisha mitihani?

Ninaogopa tusijekutafuta "chambio" likasababisha kupeleka Kidato cha Tano watoto ambao hata hawajui Tanzania ni Muunganiko wa nchi ipi na ipi

Kuna tatizo kubwa ambalo linahitaji akili zilizotulia na zilizona dhamira ya dhati kulishughulikia na sio kurudia kusahihisha mitihani....Kuna tatizo kubwa zaidi ya usahihishaji na grading....na sio kwamba hawajui, upuuzi umejaa unaotaka kutuharibia watoto wetu na mustakabali mzima wa elimu yetu pamoja na Tanzania yetu katika ujumla wake....Watoto hawafundishwi, wanachojua ni soka la kina Messi na Mazombie leo unataka kuniambia kusahihisha mitihani pekee kutatosha?

Huu ni ujinga mwingine uliowekwa kwenye ganda la "chocolate"
 
Hapa Chadema iwe makini. Huu unaweza kuwa mtego wa makusudi kabisa.
 
shikamoo!
 
Pole sasa kama ulichora zombi unategemea 1?? na utapata ziro ile ile mbuz wewe!
 
Mtihani hautarudiwa kusahihishwa bali mchakato wa kupanga na kupata grades ndo utarudiwa.
 
Does it make sense dude? Kurudia kupanga na kupata grades mpya kwa mwanafunzi aliye feli!
Hii ni kumpa mwanafunzi promotion asiyostahili wakati sababu za kufeli ziko wazi kabisa. So zoezi hili I bet litakuwa endelevu kila mwaka wanafunzi watakapokuwa wakifeli! Hii ndiyo Bongo bwana!
 
Watafaulu 87% na tutatangaza ufaulu umeongezeka kuliko2012

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wewe unaeshabikia hii hata wakirudia kusahihisha utafeli tu. Hiyo heading ndo umeandika nini sasa?
 
Back
Top Bottom