Walio single Tupeni hoja zenu

Walio single Tupeni hoja zenu

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Nafanya research kidogo mnisaidie.. nahitaji majibu yenu ya Yes or No.

Type Y if Yes, or
Type N if No.

Hapo ulipo unatamani mwenza mfundishane mapenzi, just hamu ya sex na mtu mwingine. kiasi kwamba unaona hutendewi haki, relationship ni kitu unataka kwanza kwaajili ya sex muhimu

Na kuna wale ambao Sex hiyo michezo ya usumbufu kwako.
Yani huna hamu na sex kabisa kwa nyakati hizi.

Hatutakuuliza sababu Tuambie tu upo upande gani ? kwani kuna wengine waliwahi kunyanyaswa kingono na wakayachukia mapenzi.

Nafikiri mapenzi ndio kitendo kigumu sana kwa upande mwingine.

Yes Natamani
No Sitamani.
 
Tàtizo hawa viumbe shida sana, ukimsalimu tuu habari za asubuhi badala ajibu salaam, utajibiwa afadhali umenipigia yaani hapa nilipo Nina njaa kama mbwa wa mikumi naomba japo ten nipate chai!
Yaani stimu yote inakata.
Kila mtu abaki na haja zake 😂

but wewe ni kura ya Y ✅ sema, pisi zina demands pesa zaidi
 
Kila mtu abaki na haja zake 😂

but wewe ni kura ya Y ✅ sema, pisi zina demands pesa zaidi
Mkuu mimi saiz hata ham ya kutongoza sina coz ukishaingia tu kwenye mahusiano tegemea kubebeshwa mizigo mizito mpaka ile raha ya kuwa kwenye mahusiano inakata, niseme tu mahusiano yana faida kubwa kwa wanawake ila ni mateso na mzigo mzito kwa wanaume
 
1739803587888.jpg
 
Wacha nigonge kiujanja ujanja ili nitimize malengo yangu kuwa na mahusiano seriouslly aisee utapigika sana
Men like sex to satisfy there desire with beautiful woman, but Wanawake wazuri hutaka nguvu ya Pesa kwanza ndio then mapenzi.

But wanawake chipu wapo.
 
Back
Top Bottom