AKASINOZO
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 1,367
- 2,219
Hbr wana jamvi...
Napenda kumshukuru mnyazi Mungu mwingi wa rehema anazotujalia kila siku.
Kwa historia kidogo Milambo high school ni shule moja maarufu hapa nchini inayopatikana munispaa ya Tabora .
Shule hii imejizolea sifa kedekede kama siyo lukuki kwa kutoa viongozi mahili hapa nchini mfano Mh LOWASA nk.
Shule hii ilikuwa na maeneo maarufu sana ikiwemo mabwenu kama Rugambwa,Sokoine, pia yapo maeneo kama Kachelema califoria .......
Pia kuna wafanyakazi walikuwa maarufu kama mzee msengi (mpishi) mwl kabeja, na Zomaa n.k
Yapo mengi ninayo yakumbuka kwa mwaka 2009-2011 hila najua kuna wakubwa na wadogo zangu ambao mpo humu jukwaani tunaeweza kukumbushana yale ya shule yetu pendwa.....
Karibu kwa michango yenu..
# Viva Milambo High School#