Walio soma Mirambo high school Tabora tukutane hapa

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
1,367
Reaction score
2,219
Hbr wana jamvi...
Napenda kumshukuru mnyazi Mungu mwingi wa rehema anazotujalia kila siku.

Kwa historia kidogo Milambo high school ni shule moja maarufu hapa nchini inayopatikana munispaa ya Tabora .

Shule hii imejizolea sifa kedekede kama siyo lukuki kwa kutoa viongozi mahili hapa nchini mfano Mh LOWASA nk.

Shule hii ilikuwa na maeneo maarufu sana ikiwemo mabwenu kama Rugambwa,Sokoine, pia yapo maeneo kama Kachelema califoria .......

Pia kuna wafanyakazi walikuwa maarufu kama mzee msengi (mpishi) mwl kabeja, na Zomaa n.k

Yapo mengi ninayo yakumbuka kwa mwaka 2009-2011 hila najua kuna wakubwa na wadogo zangu ambao mpo humu jukwaani tunaeweza kukumbushana yale ya shule yetu pendwa.....


Karibu kwa michango yenu..

# Viva Milambo High School#
 
Mkutane hapa...!!! Kwani mnataka kwenda wapi?
 
We binti, Milambo ni shule ya wanaume, we umefikaje huko
Anyways, mi ni mlambo bana na nakumbuka sana enzi Za kombe la Mgulunde, na Umiseta, hasa mnapokutana na wavulana wa tbr boys ndani ya uwanja wa vita au kazima.
RIP Mabuye, my head master.
Aliyeweka wanawake Milambo anastahili hukumu ya...
 
Kabeja alitolewa Shycom yule kumbe alipelekwa Milambo vp kaacha pombe?!!
 
Walambo mje huku...walambo mjeeee hukuuuuu....2010/2012 RIP Mwl katondolaaaa
 
Huu Uzi Umekosea Njia Yake Plz! Itafutie Mahala Pake Mpendwa, Japokuwa Nami Ni Mlambo Nakumbuka Calfonia Mida Ya Saa 2 Au 3 Usiku Lazma Ntimbe Kusaini. Aaahh! Mtoto Wa Mjini Ndoo Makazi Yangu Yalpokua Yaan Rugabwa
 
We unajuaje labda m student centre nilikuwa na kichwa chang pale mhs

Ucjal hiz ni ids tu
 
walambo wamoja
Daah hii kauli haipo tena Milambo
zaina zaina mwaka huu watu 10 wamefukuzwa
shule ishakuwa seminary teacher Zoma ndo kiongozi wa nidhamu Ndio Aliyefukuza watu
headmaster mpya [HASHTAG]#BenWalter[/HASHTAG] Mtoto wa pugu formerly kaliua headmaster anaipaleka shule pabaya
carifonia, scout chamber, kwa hadija, mbwa mbali, wote wapo Mtoto wa Zoma nyama ya walambo kaolewa tayari but Ma brother mlikuwa moto mmetuachia Ma uncle chemchem tunalea wengine washakua tunatafuna carfonia.
 


Upo New Era unasoma??? Ushafeli mkuu.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…