Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua hizo sehemu sio ngeni kwa wengi.Ni mwalimu gani hotamsahau?kwa nini?.Kwa upande wangu sitomsahau MODDY jamaa anapiga physics hatari.
dr.chipa yupo vzuriNajua hizo sehemu sio ngeni kwa wengi.Ni mwalimu gani hotamsahau?kwa nini?.Kwa upande wangu sitomsahau MODDY jamaa anapiga physics hatari.
Najua hizo sehemu sio ngeni kwa wengi.Ni mwalimu gani hotamsahau?kwa nini?.Kwa upande wangu sitomsahau MODDY jamaa anapiga physics hatari.
mwaramy ,moddy , osama
,hidden.............................noumer sanaaaaaaa nakumbuka nilikuwa
napokea ela na kuandika ratiba mpya za topic zinazoanza every monday
kwa osama...........!ebwana eeeh watu tunatoka mbali kweliiii
..............eti now chuo nakula boom