Wengine wako GombeKuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .
Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
mimi si mfia vyama kama wewe, inamaana huoni kama ACT kinakuja kuwa chama kikuu cha upinzani au unajitoa ufahamu bure??, hebu jaribu kuusoma mchezo then utapata jibuHao sits au saba ndiyo wanawapagawisha hivyo?
Hajui anaumwa nnCovid19
Chizi wewe sasa jaji asifanye kazi yake? Komba, Ndasa walimfunga naniMtakufa ninyi ccm na familia zenu lkn,Chadema mtaiacha.Wako wapi akina Getrude Lwakatare,Richard Mganga Ndassa,Komba na majaji waliokufa kwa kuwafunga viongozi wa Chadema ili wapandishwe vyeo?
πππHajui anaumwa nn
Makamanda wamekutelekeza huku JF wamechoka kukitetea chamaMuulize Magufuli kisa cha kuogopa mikutano ya kisiasa
Kwani inaposemwa kabla ya 2020, wewe unaelewa nini? Kwamba hadi iishe hii 2020 ndo itakufa?Mwaka 2020 umeisha ?kumbe unakili kisoda hivi
Uwezo wa kudhibiti wa chombo chochote cha maamuzi unapatikana baada ya kupigiwa kura na kushinda... kabla ya hapo hakuna kitu kama hichoHivi kuna watu wenye AKILI TIMAMU kabisa kabisa na wanaota hata upinzani KUTWAA NCHI 2020.
Upinzani usiodhibiti chombo chochote cha maamuzi tayari ni MAITI INAYOTEMBEA.
Uhai wa chama unapaswa uwe huko bungeni ili CCM itegemee kura za upinzani kwenye kila maamuzi huko mfano kupitisha bills.
Hayo makelele yasiyoathiri maamuzi hata vyura wanapiga sana kwenye madimbwi.
2020 NDO UCHAGUZI MKUU MGUMU MNO KWA UPINZANI KWENYE HISTORIA YA VYAMA VINGI.
ACT Wazalendo sawa,vita yetu Watanzania ni namna ya kutoka mikononi mwa watesi wetu(CCM), haijalishi kama watakao chaguliwa.Iwe ACT Wazalendo,TLP,UDP,CUF,ADC au CDM bora CCM watupishe.Wametunyonya vya kutosha,wametunyanyasa Watanzania wenzao sana.Bado wanatung'ang'ania utafikiri wana jipya.mimi si mfia vyama kama wewe, inamaana huoni kama ACT kinakuja kuwa chama kikuu cha upinzani au unajitoa ufahamu bure??, hebu jaribu kuusoma mchezo then utapata jibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unachekesha sana chama kina miaka 60,kina polisi jeshi kinapambana na chama kisicho na hata mgambo?Kwani haijafa?
πππππππππKuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .
Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Waitara chapombe yupo wodini anajiuguza japo anasema hajui anaumwa nini
Kuna wale walioahidi kuiua chadema kwa njia zozote ikiwemo Uchawi , leo naandika haya ni june 15 2020 , ni muda uliopita kipindi chao cha makadirio , sasa nawauliza hivi , bado ndoto yao ipo ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba Chadema imemshinda Shetani na inakwenda kutwaa nchi hasa baada ya kutangaza hadharani kwamba itafuta ukandamizaji , zikiwemo sheria za kijinga zilizopitishwa ili kuwalinda watu fulani , kutokomeza mauaji ya wasio na hatia yaliyofanywa desturi , itaongeza mishahara ya wafanyakazi kama katiba inavyoelekeza huku ikiahidi kurudisha utaratibu wa kutoa ajira kwa vijana wa nchi hii ambao umefutwa kwa sababu zisizofahamika .
Ewe uliyeahidi kusimamia jambo hili la kuua CHADEMA ni vema ukajitokeza ili utupe mrejesho au umepanua magoli ?
Aliposhindwa kuwafanya watu warudi kijijini ndio alipoanza kushindwa kuua ChademaWako walioambiwa watarudi kijijini na kuishi kama mashetani na hadi leo maisha yanaenda.Sembuse watu kusema chadema itakufa.
Aliyekudanganya kwamba chadema ina kikundi cha buku 7 ni nani ?Makamanda wamekutelekeza huku JF wamechoka kukitetea chama
Waitara na mabos zake ni bora wafe tu maana hawana faida yoyote na namuomba mungu wauwe wapuuzi wa aina yaWaitara chapombe yupo wodini anajiuguza japo anasema hajui anaumwa nini
Asikomee kuumwa tu hata life kabisa.Anaumwa huyu hajavunja mguu kwenye ulevi kama mbowe
Ushindwe na maombi yakoWaitara na mabos zake ni bora wafe tu maana hawana faida yoyote na namuomba mungu wauwe wapuuzi wa aina ya
Asikomee kuumwa tu hata life kabisa.