Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Mahakama ya Kisutu leo imefuta kesi dhidi ya wanafunzi 51 wa UDSM waliokuwa wanashitakiwa kwa kuandamana visivyo halali wakati wa mgomo mwaka jana. Kesi imefutwa kwa sababu upande wa mashitaka umeshindwa kuleta mashahidi tangu ilipofungua kesi hiyohadi leo